Muimbaji kutoka Kongo Koffi Olomide aliye panga kustaafu kwenye game ya music sasa yuko Tanzania kwa Bwana Simba. Wanapanga kuangusha Kibao mzuka kitakacho leta ladha zaidi kwenye sanaa ya mziki Tz na Dunia nzima. Hatujui ni kipi ila make sure kwamba unafuatilia sana hizi updates zetu ili usikose wimbo wao “Koffi Olomide ft Diamond Platinumz”. Anasema kwamba mashabiki bado wanamuitaji sana.
Comments
Post a Comment