Media personalities Western Kenya hawana support kwa wasanii. Hongo tu ndio nguzo yao. Nyimbo kuchezwa ati lazima nilipie, interview lazima nilipie. Support kwanza local talents malipo baadae. "WANGAFIRE" wimbo ambao unatumika sana na vigogo hapa Magharibi lakini hata kuwapa waloimba support, balaa.
MAKE sure unaingia pale youtube and subscribe our channel BGM TV ili upate Future updates pia na stories za wasanii mototo.https://www.youtube.com/channel/UCnhHUgmulvxh-M-pm98bS2w
Comments
Post a Comment